Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fatuma: Ni mKubaliano tu, Fei Toto arudi uwanjani

Karume Fei Hersi Fatuma: Ni mKubaliano tu, Fei Toto arudi uwanjani

Sat, 4 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maneno ya wakili wa Feisal Salum (Fei Toto), Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Twitter.



Hivi karibuni alisema kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linamlazimisha mchezaji huyo kufanya kazi na Yanga wakati ni kinyume na sheria za FIFA.   Mwanasheria huyo amesema TFF ilipaswa kujiuliza ikiwa mchezaji huyo alivunja mkataba kwa njia sahihi au la, na kama hakutumia njia sahihi alipaswa apigwe faini na si kulazimishwa kuitumikia klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live