Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Farid Mussa kutimkia Ihefu

Farid Mussa Farid Mussa.

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo kiraka wa Yanga, Farid Mussa atachana na Yanga baada ya Msimu huu kutamatika, Farid Mussa ameshawishika kuondoka Klabuni hapo baada ya ufinyu wa kupata namba Katika kikosi cha Kwanza.

Klabu ya Ihefu ndio Klabu pekee iliyoonesha nia kuhitaji saini yake.

Ikumbukwe Oscar Oscar Ndiyo Wakala wa Farid Mussa,hafurahishwi na Mchezaji wake kukosa namba Katika Club ya Yanga, Hivyo yeye pia amekuwa Sehemu ya watu waliomshawishi Faridi Mussa kuachana na Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live