Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Farid Mussa aongeza miaka miwili Yanga

Farid Mkataba Winga wa Yanga, Farid Mussa aongeza Mkataba

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa ameongeza Mkataba wa kuendelea kusalia Yanga mpaka mwaka 2024.

Mkataba huo wa miaka miwili ni muendelezo wa Klabu ya Yanga kuendelea kuwabakisha nyota wake muhimu kikosini.

Mkataba wa awali wa Farid ulikuwa unaisha mwishoni mwa Juni 2022.

Wachezaji wengine waliiongeza Mikataba Yanga ni Beki Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari na Zawadi Mauya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live