Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fainali Super Cup kupigwa Saudi Arabia

King Fahd International Stadium (3) Uwanja wa Kimataifa wa King Fahd

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fainali ya CAF Super Cup 2023 kati ya Mabingwa watetezi Al Ahly na Mabingwa wa Kombe la Shirikisho USM Algers itachezwa Septemba 15 nchini Saudi Arabia.

Fainali ya CAF Super Cup 2023 kati ya Mabingwa watetezi Al Ahly na Mabingwa wa Kombe la Shirikisho USM Algers itachezwa Septemba 15 nchini Saudi Arabia. Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Kimataifa wa King Fahd.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live