Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fainali Azam Sports Federation kupigwa Mkwakwani Tanga

Azam Sports Cup Final Fainali Azam Sports Federation kupigwa Mkwakwani Tanga

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation imefikia kwenye utamu wake baada ya Timu 8 kutinga hatua ya Robo Fainali.

Timu zilizotinga hatua ya Robo Fainali ni pamoja na Simba, Yanga, Azam FC, Geita Gold, Mbeya City, Ihefu na Mtibwa Sugar.

Mechi za Robo Fainali zitapigwa kama ifuatavyo;

Simba vs Ihefu

Singida vs Mbeya City

Yanga vs Geita Gold

Azam vs Mtibwa

Michezo ya Nusu Fainali itapigwa katika viwanja vya Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara na Uwanja wa Liti Mkoani Singida.

Mchezo wa Fainali utapigwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live