Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fahamu timu iliyobeba Ngao ya Jamii mara nyingi zaidi Bongo

IMG 4559 Bingwa Ngao Ya Jamii.png Fahamu timu iliyobeba Ngao ya Jamii mara nyingi zaidi Bongo

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Jumatano, Agosti 9, 2023 michezo ya Ngao ya Jamii kwa ajili ya kufungua pazia la Ligi Kuu ya NBC itaanza pale CCM Mkwakwani Tanga kwa Yanga kukipiga na Azam FC.

Kesho Simba itacheza na Singida Fountain Gate ambapo washindi wa mechi hizo mbili watakutana fainali Agosti 13.

Hapa ni rekodi ya washindi wa ngao ya jamii tangu ianzishwe mwaka 2001 Tanzania bara.

◉ 2001 — Yanga 2 - 1 Simba

◉ 2003 - 2008 — Not played

◉ 2009 — Mtibwa 1 - 0 Yanga

◉ 2010 — Yanga 3 - 1 Simba ›› Pen

◉ 2011 — Simba 2 - 0 Yanga

◉ 2012 — Simba 3 - 2 Azam

◉ 2013 — Yanga 1 - 0 Azam

◉ 2014 — Yanga 3 - 0 Azam

◉ 2015 — Yanga 8 - 7 Azam ›› Pen

◉ 2016 — Azam 4 - 1 Yanga ›› Pen

◉ 2017 — Simba 5 - 4 Yanga ›› Pen

◉ 2018 — Simba 2 - 1 Mtibwa

◉ 2019 — Simba 4 - 2 Azam

◉ 2020 — Simba 2 - 0 Namungo

◉ 2021 — Yanga 1 - 0 Simba

◉ 2022 — Yanga 2 - 1 Simba

◉ 2023 — ?!

07 — Young Africans 06 — Simba SC 01 — Mtibwa sugar 01 — Azam FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live