Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fahamu haya kuelekea msimu mpya wa EPL

Man City Celebration Mabingwa wa EPL 2022/23

Wed, 7 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ratiba ya Ligi Kuu ya England ya msimu ujao itatangazwa saa 5 asubuhi saa za Tanzania Alhamisi Juni 15 Mwaka huu.

Dirisha la usajili kwa vilabu vya Ligi kuu ya England litafunguliwa rasmi Jumatano Juni 14, mwaka huu

Dirisha hilo litafungwa saa 6 usiku saa za Tanzania Ijumaa Septemba 1, mwaka huu.

Msimu wa Ligi Kuu ya England wa mwaka 2023-24 unatarajiwa kuanza Jumamosi Agosti 12, mwaka huu

Raundi ya mwisho ya mechi itachezwa kwa wakati mmoja Jumapili Mei 19, 2024.

Mapumziko ya katikati ya msimu yatarudi kwenye ratiba ya msimu ujao, kuanzia Januari 13 hadi Januari 20, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live