Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fagio la viongozi kupita Man United

Man United Loose Fagio la viongozi kupita Man United

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sir Jim Ratcliffe amesema pindi atakapokamilisha zoezi la kuinunua timu hiyo ataanza na kuwaondosha mkurugenzi wa soka wa klabu hiyo John Murtough na Afisa mtendaji wa klabu hiyo Richard Arnod.

Sababu ya kufanya hivyo ni usajili wa wachezaji wasio na viwango walioufanya kwa gharama kubwa kwenye kikosi cha United akiwataja , Sancho, Di Maria, Antony na wengine wengi.

Kesho Jumamosi saa 12:00 Jioni kikosi cha "Flops" kama kilivyotajwa na Sir Jim Ratcliffe kitashuka dimbani kucheza dhidi ya Luton.

Kwa kile anachowaza Ratcliffe kukifanya ili kuirejesha Manchester United kwenye ramani ni sahihi ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live