Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fadlu awatema Mzamiru, Chasambi na Omary Omary

Omary Chasambi Mzamiru Fadlu awatema Mzamiru, Chasambi na Omary Omary

Thu, 12 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kilichoondoka nchini Alfajiri ya 11/09/2024 kuelekea Libya kwaajili ya mchezo wa kuwania kufuzu kucheza hatua ya makundi ya CAFCC dhidi ya Al Ahly Tripol.

Kwenye majina ya wachezaji watakaosafiri kuelekea Libya majina ya Mzamiru Yasin, Ladack Chasambi na Omary Omary sio sehemu ya wachezaji watakaosafiri na timu kwenda Libya.

Pia kwa wachezaji waliopo kwenye timu za taifa wataungana na wachezaji wenzao kambini Libya mara baada ya kumaliza majukumu kwenye timu zao za taifa.

Aidha, uongozi wa Simba Sc haujatoa taarifa yoyote kukusu sababu za kuwaacha nyota hao kuelekea mchezo huo muhimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live