Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fabregas kulamba dili la Ukocha

Cesc Fabregas Coach.jpeg Fabregas kulamba dili la Ukocha

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Chelsea na Barcelona, Cesc Fabregas atateuliwa kuwa kocha wa timu ya daraja la 2 ya Como ya Italia.

Itakuwa uzoefu wake wa kwanza kama meneja wa timu ya 1 kwani tayari alikuwa kocha mkuu wa timu ya vijana ya Como.

Je, ataifundisha klabu gani bora siku zijazo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live