Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fabregas aipandisha Timu Ligi Kuu Italia

COMO Serie A Fabregas aipandisha Timu Ligi Kuu Italia

Sat, 11 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Klabu ya COMO 1907 aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Arsenal, Barcelona na Chelsea Cesc Fabregas amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Seria B na klabu hiyo na kufanikiwa kupanda ligi kuu nchini Italy Seria A kuelekea msimu ujao 2024 /2025.

Como wamepanda daraja baada ya miaka 21 kupita, mara ya mwisho kushiriki ligi kuu ilikuwa ni mwaka 2003.

Makocha wa Hispania wanatawala soka la Ulaya kirahisi kwa sasa, ama unaonaje?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live