Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FLASHBACK: Santos walivyotuletea Neymar Ulimwengu wa Soka

Neymar Santos FC Neymar akiwa katika jezi ya Santos

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tarehe kama ya leo mwaka 2009 licha ya kuwa na umri wa miaka 17 pekee, nyota wa kimataifa wa soka wa Brazil, Neymar alicheza mechi yake ya kwanza ya kulipwa katika Klabu ya Santos ya nyumbani kwao, Brazil.

Kupitia mchezo huo Dunia ilipata kusikia hadithi za kipaji cha ajabu kutoka katika Taifa la Soka Duniani, Brazil.

Tangu hapo Neymar amekwenda mbele na hakuwahi kurudi nyuma kwani mwaka 2013 alijiunga na wababe wa Hispania FC Barcelona akicheza kwa mafanikio Makubwa, kisha mwaka 2017 akajiunga na matajiri wa Ufaransa PSG.

Katika Career yake Neymar ameshinda;

4x Ligue 1

2x LaLiga

1x Copa Libertadores

1x UCL

1x Club World Cup

1x Puskas

Chanzo: www.tanzaniaweb.live