Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA yaitaja Simba kuwania Kombe la Dunia kwa Vilabu 2025

FIFA Yaitaja Simba Kuwania Kombe La Dunia Kwa Vilabu 2025.jpeg FIFA yaitaja Simba kuwania Kombe la Dunia kwa Vilabu 2025

Mon, 25 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) leo limetaja timu ambazo zipo katika nafasi ya kuweza kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa Vilabu 2025.

Tanzania na Afrika Mashariki ni Simba SC pekee ndio imekidhi vigezo vya kuwa katika timu 12 zenye nafasi ya kupambana kwenye mchujo huo.

Mfumo mpya wa Kombe la Dunia la Vilabu utahusisha jumla ya timu 32 kutoka mabara yote kwa Afrika ni timu nne pekee ndio zitafuzu kati ya 12 zilizotajwa na FIFA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live