Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA yaiondolea Kenya adhabu ya kufungiwa

Ababu Namwamba. FIFA yaiondolea Kenya adhabu ya kufungiwa

Mon, 28 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa barua ya Katibu Mkuu wa FIFA, Fatma Samoura, Shirikisho la Soka Duniani limeondoa pia adhabu ya kifungo kwa Shirikisho la Soka nchini humo (FKF).

Baada ya hatua hiyo, wawakilishi kutoka FIFA na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) watatumwa nchini Kenya kwa ajili ya mazungumzo na Waziri wa Michezo, Ababu Namwamba.

Kenya ilifungiwa kujihusisha na soka la Kimataifa tangu mwaka 2021 kufuatia Serikali kuingilia shughuli za Soka kwa madai ya Rushwa na Ubadhirifu wa Fedha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live