Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA yaifutia Yanga adhabu ya TMS, bado ya Kambole

Kambole Lazarious 222 Lazarus Kambole

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imefutiwa adhabu ya kutosajili kwa kosa la kutoingiza uthibitisho wa malipo ya usajili wa mchezaji kwenye mfumo wa usajili, TMS - lakini bado inakabiliwa na adhabu nyingine kwa kutomlipa mchezaji iliyemuacha, Mzambia Lazarous Kambole.

Soma kwa urefu taarifa ya TFF hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: