Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA yaagiza Klabu ya Ronaldo kufungiwa

Roldo Bann FIFA yaagiza Klabu ya Ronaldo kufungiwa

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

FIFA imelitaka Shirikisho la soka nchini Saudi Arabia kuifungia klabu ya Al Nassr kusajili mchezaji yeyote kwa sababu wameshindwa kulipa ada ya uhamisho wa Ahmed Musa kutoka Leicester City.

FIFA imelitaka Shirikisho la soka nchini Saudi Arabia kuifungia klabu ya Al Nassr kusajili mchezaji yeyote kwa sababu wameshindwa kulipa ada ya uhamisho wa Ahmed Musa kutoka Leicester City. Al Nassr ndio klabu anayocheza Cristiano Ronaldo, ambae alitokea Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live