Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA wamaliza utata bao la Japan, watoa ushahidi huu (+Video)

FIFA Japana Goal Bao lililozua utata la Japan dhidi ya Hispania

Sat, 3 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuacha mjadala mkubwa kwa goli lililofungwa na Japan katika mchezo dhidi ya Hispani kuwania kufuzu kwa hatua ya 16 siku ya Disemba 1.

Wapo wanaodai mpira huo ulikuwa umeshatoka kabla ya kupigwa kuelekea kwa mfungaji na kuwapa Japan faida ya kupata goli la pili na la ushindi.

Hatimaye Shirikisho la Soka Duniani FIFA limekuja na vithibitisho vya uhakika katika kuondoa utata wa goli hilo.

FIFA imesema kwamba goli la Jpan lilikuwa halali na mpira haukuwa umetoka wote hivyo ilikuwa sahihi kuendelea kuchezwa.

Tazama video hizi hapa chini zilizotolewa na FIFA;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live