Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA waipa Morocco uenyeji Kombe la Dunia

Morocco To Host U 17 Womens World Cup For Four Years 800x531.jpeg FIFA waipa Morocco uenyeji Kombe la Dunia

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

FIFA imetangaza Morocco kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA kwa Upande Wa Wanawake U17 kuanzia 2025 hadi 2029,

FIFA imetangaza Morocco kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA kwa Upande Wa Wanawake U17 kuanzia 2025 hadi 2029, Kwa miaka mitano ijayo, Morocco itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo ambayo sasa yatafanyika kila mwaka na itakuwa nchi ya kwanza ya Kiafrika Kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya Vijana ya FIFA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live