Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA kumuheshimisha Marta

 103569495 Marta2 FIFA kumuheshimisha Marta

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka Duniani FIFA kuanzia msimu ujao litakuwa linatoa tuzo ya goli bora kwa upande wa wanawake lililofungwa kwa mwaka husika itakayoitwa Marta award.

Tuzo hii utakuwa ni kwaajili ya heshima ya nyota raia wa Brazil Marta Silva ambaye amefanya makubwa kwenye soka na jana amekabidhiwa tuzo hiyo ya heshima.

Akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil kama nahodha amefunga magoli 123.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live