Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FIFA, Adidas wazindua mipira mipya hatua ya Nusu, Fainali Qatar

Fifa Ball Sportstiger 1670762374475 Original Aina ya mipira itakayotumika hatua ya Nusu Fainali na Fainali Qatar

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

FIFA imeuonyesha mpira wake mpya ulioandaliwa kwa ajili ya nusu fainali na fainali za Kombe la Dunia 2022 zinazoendelea nchini Qatar.

Mpira huo umepewa jina la Kiarabu la "Al Hilm" likiwa na maana ya "Ndoto" (The Dream).

Timu ya Taifa ya Argentina ndio itakuwa ya kwanza kuutumia mpira huo katika mechi yao dhidi ya Croatia Jumanne usiku.

Mpira uliokuwa ukitumika hadi sasa katika kombe la dunia nchini Qatar ulijulikana kama" Al Rihla", ikiwa na maana ya "Safari" ( The Journey).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live