Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FGA yamtambulisha Athumani Cairo

Athumani Cairo Klabu ya FGA inayoshiriki Championship imemtambulisha Kocha Athuman Cairo

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya FGA inayoshiriki Championship imemtambulisha Kocha Athuman Cairo kuwa Kocha wao Mkuu Mpya baada ya kuachana na Novatus Flugence.

Klabu ya FGA inayoshiriki Championship imemtambulisha Kocha Athuman Cairo kuwa Kocha wao Mkuu Mpya baada ya kuachana na Novatus Flugence. Cairo amewahi kufundisha katika klabu za African Sports,Mgambo Shooting katika ligi kuu Tanzania Bara pamoja Mawenzi Market,Pamba Fc na Biashara United kwenye Championship.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live