Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FGA Talents watambulisha Kocha mpya

Ngawina Ngawina Ngawina Ngawina

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya FGA talents kutoka Mkoani Morogoro imemtambulisha kocha wao mkuu mpya Ngawina Ngawina.

Klabu ya FGA talents kutoka Mkoani Morogoro imemtambulisha kocha wao mkuu mpya Ngawina Ngawina. Kocha Ngawina anajiunga na klab ya FGA talents inayoshiriki Championship akitokea klab ya TMA nayo ya Championship.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live