Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FC Nantes ya Ufaransa yamtaka kocha Dabo

Dabo Sax Nantes FC ya Ufaransa yamtaka kocha Dabo

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Nantes ya nchini Ufaransa inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo imeonesha nia ya kutaka huduma ya Kocha wa Azam FC, Youssouph Dabo raia wa Senegal.

Taarifa kutoka chanzo cha karibu na kocha huyo kimeeleza kuwa Dabo amepiga chini ofa hiyo akisema bado yupo kwenye mipango ya muda mrefu ya Azam FC.

jana Azam ilicheza na Ihefu FC (Singida Black Stars) na kufanikiwa kushinda bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Chanzo: www.tanzaniaweb.live