Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

FA wafafanua kadi ya njano ya Arteta

Arteta Yellow FA wafafanua kadi ya njano ya Arteta

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kumekuwa na maswali mengi juu ya kadi ya njano aliyoonyeshwa Kocha wa Arsenal Mikel Arteta dakika ya 98 kwenye mchezo dhidi ya Luton Town.

Arteta alishangalia Sana goli la jioni la Rice ililoipa ushindi Arsenal.

FA imesema kwamba kushangilia kupita kiasi ni kupoteza muda hivyo alioneshwa kadi ya njano kihalali kabisa.

Hivyo jambo lililosababisha Arteta kuoneshwa kadi ya njano ilikuwa ni ushangiliaji wake uliokuwa unapoteza Muda kulingana na sheria za EPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live