Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ex wa Ronaldo agoma kubaki single

Irina X Bradley Ex wa Ronaldo agoma kubaki single

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Hapoi haboi’ kauli hii unaweza kumwelezea aliyekuwa mpenzi wa mchezaji wa klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo, Irina Shayk baada ya kuachana na mpenzi wake wa sasa, Tom Brady huku tetesi zikisema hivi karibuni atazama tena penzini.

Inaelezwa kuwa mwanadada huyo anaye jihusisha na masuala ya mitindo anatajwa kuwa katika msako wa kumtafuta mchumba nchini Marekani na inadaiwa kuwa huenda akafungua ukurasa mpya wa mahusiano na mwigizaji maarufu wa Hollywood, Tom Cruise

Irina Shayk na Ronaldo walidumu katika mahusiaano yao kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2010 walikuwa pamoja mpaka kufikia mwaka 2015 walipoachana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live