Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Everton yawekwa sokoni

Everton Fre.jpeg Everton yawekwa sokoni

Wed, 25 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa ni siku chache hapo nyuma klabu ya Everton kuripotiwa kuwa inawezekana kushuka daraja msimu huu kwa sasa taarifa zilizohusiana na hio ni kuwa klabu hio inauzwa.

Everton imewekwa sokoni na inauzwa kwa bei ya pauni milioni 500 (Tsh trilioni 1.44). (Guardian)

Hata hivyo mmiliki Farhad Moshiri amekanusha taarifa za uwezekano wa kuuzwa, akisisitiza kuwa amejitolea kuitumikia klabu hiyo inayokabiliwa na matatizo na hatari ya kushuka daraja. (Liverpool Echo)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live