Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Everton wapunguziwa adhabu, wakatwa alama 6 sio 10

Everton 6 Points Everton wapunguziwa adhabu

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Adhabu ya Everton ya kukatwa alama 10 imepunguzwa na sasa wamekatwa alama 6 tu baada ya kukata Rufaa kwenye Mahakama ya EPL.

Adhabu ya Everton ya kukatwa alama 10 imepunguzwa na sasa wamekatwa alama 6 tu baada ya kukata Rufaa kwenye Mahakama ya EPL. Sasa Everton itakuwa na alama 25 na itasogea hadi nafasi ya 15 kwenye msimamo wa EPL

Chanzo: www.tanzaniaweb.live