Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Everton kukatwa Pointi nyingine 9

Skynews Everton Premier League 6363863 Everton kukatwa Pointi nyingine 9

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Everton inatarajia kukutana na rugu lingine la kukatwa alama 9 iwapo wamiliki wapya wa klabu hiyo kampuni ya 777Partners watashindwa kuzilipa kiasi cha £ 300 Million klabu za Leeds United, Leicester City na Burnley baada ya kushuka daraja kwa misimu ya hivi karibuni.

Klabu ya Everton inatarajia kukutana na rugu lingine la kukatwa alama 9 iwapo wamiliki wapya wa klabu hiyo kampuni ya 777Partners watashindwa kuzilipa kiasi cha £ 300 Million klabu za Leeds United, Leicester City na Burnley baada ya kushuka daraja kwa misimu ya hivi karibuni. Timu hizo tatu zinajiandaa kuwasilisha malalamiko ili walipwe kiasi cha £100 Million kila klabu baada ya kushuka daraja kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na kile wanachodai kuwa Everton ilistahili kukatwa alama msimu uliopita, msimu ambao ilimaliza na alama nne (4) juu ya timu iliyoshuka daraja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live