Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Evans kupewa mwaka mmoja Man United

John Evans To One Year Contract John Evans

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United ipo kwenye mchakato wa kumpa ofa ya mkataba wa mwaka mmoja beki wake, Jonny Evans, 35, ambaye imemsainisha mkataba wa miezi sita katika dirisha hili.

Manchester United ipo kwenye mchakato wa kumpa ofa ya mkataba wa mwaka mmoja beki wake, Jonny Evans, 35, ambaye imemsainisha mkataba wa miezi sita katika dirisha hili. Taarifa zinadai Kocha Erik Ten Hag amevutiwa na kiwango alichoonyesha kwenye mechi za maandalizi ya msimu akiwa na kikosi cha Mashetani Wekundu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live