Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Etoo: Simtambui Kocha mpya Timu ya Taifa Cameroon

Etoo Samuel Etoo, Rais wa Shirikisho la Soka Cameroon

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zikiwa zimepita siku chache toka Taifa la Cameroon limtangaze Mbelgiji Marc Brys kuwa kocha mpya wa timu ya taifa.

Zikiwa zimepita siku chache toka Taifa la Cameroon limtangaze Mbelgiji Marc Brys kuwa kocha mpya wa timu ya taifa. Rais wa Shirikisho la Soka Cameroon (Fecafoot) Samuel Etoo Fils ameibuka na kusema kuwa hatambui uteuzi wa Kocha huyo ambao umefanywa na Wizara ya michezo bila kumhusisha Kama Rais Wa Shirikisho La Soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live