Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Etoo: Bila Infantino, Afrika ni ngumu kutoboa katika Soka

Infantino With Etoo Fills Etoo: Bila Infantino, Afrika ni ngumu kutoboa katika Soka

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Samuel Eto’o anaamini nafasi pekee ya maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika ni kipindi hiki ambacho Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA ni Gianni Infantino

Samuel Eto’o anaamini nafasi pekee ya maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika ni kipindi hiki ambacho Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA ni Gianni Infantino “Tumepata bahati kubwa tuna Rais wa Shirikisho ambaye anaipenda FIFA, sina maana kama namkubali sana hapana ila endapo ataondoka FIFA sisi kama Afrika hatutakuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi tutakutana na vipingamizi vingi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live