Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ethan Mbappe nae atangaza kuondoka PSG

ETNANNNNN Ethan Mbappe

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zimepita siku kadhaa tangu Kylian Mbappe atangaze kuondoka PSG na baadae kujiunga na Real Madrid ya Hispania.

Zimepita siku kadhaa tangu Kylian Mbappe atangaze kuondoka PSG na baadae kujiunga na Real Madrid ya Hispania. Jioni ya Juni 19 Ethan Mbappé (17) ambaye ni mdogo wake Kylian Mbappe na yeye pia ametangaza kuondoka PSG kama mchezaji huru.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live