Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eritrea yajitoa kufuzu Kombe la Dunia, kisa ni hiki ..!

Eritrea1 Eritrea yajitoa kufuzu Kombe la Dunia, kisa ni hiki ..!

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Eritrea imejitoa kushiriki michezo ya kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia wakihofia wachezaji wao kutoroka na kuomba hifadhi nchi zingine kutokana na hali mbaya ya kisiasa inayoendelea nchini humo.

Eritrea imejitoa kushiriki michezo ya kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za kombe la Dunia wakihofia wachezaji wao kutoroka na kuomba hifadhi nchi zingine kutokana na hali mbaya ya kisiasa inayoendelea nchini humo. Timu hiyo haijacheza mchezo wowote wa kirafiki tangu mwaka 2019, mwezi ujao walitakiwa kucheza na Morocco na Congo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live