Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Equatorial Yaifungashia Virago Stars Afcon

TAIFA.png?fit=599%2C350&ssl=1 Equatorial Yaifungashia Virago Stars Afcon

Fri, 26 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Equatorial Yaifungashia Virago Stars Afcon March 26, 2021 by Global Publishers



KUPOTEZA kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Afcon mbele ya Equatorial Guinea kumeifungashia jumla timu hiyo Kwenye michuano hiyo mikubwa Afrika.

Stars ilikubali kichapo cha bao 1-0 ikiwa ugenini ndani ya kundi J na kuifanya ibaki na pointi zake 4 baada ya kucheza jumla ya mechi 5.

Equatorial Guinea wanafikisha pointi 9 zinazowafanya waungane na Tunisia wenye pointi 13 ambao wanaongoza kundi J na wemefuzu Afcon.

Timu ya Stars chini ya Kim Poulsen imepoteza mchezo wake tatu na ina mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba dhidi ya Libya wenye pointi tatu.

Chanzo: globalpublishers.co.tz