Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Enzo Fernadez, namba zinamuangusha Chelsea

Enzo Fernadez New Jersy Kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Enzo Fernandez amekuwa na mwanzo mbaya kwani tangu asajiliwe na Chelsea ,ameisaidia timu kushinda mchezo mmoja pekee ni kwenye mechi dhidi ya Bournemouth (3-1) mapema mwezi Mei (kwa mechi alizocheza )

Enzo alisajiliwa kwa ada ya £ 106 Milioni alitokea Benfica ya nchini Ureno ,msimu huu amecheza mechi 5 kati ya 6 na kwenye mechi hizo hajafanikiwa kufunga wala kutoa assist .

Kusajili ni kitu kingine na usajili kulipa ni kitu kingine kabisa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live