Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eng. Hersi kushuhudia usiku wa Tuzo za CAF

Eng Hersi Cafff Eng. Hersi kushuhudia usiku wa Tuzo za CAF

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said leo usiku atakuwa sehemu ya waalikwa watakaoshuhudia Mubashara Tuzo za Mchezaji Bora Afrika CAF.

Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu vya soka Barani afrika (ACA) atakuwepo katika tuzo hizo zitakazofanyika nchini Morocco.

Hersi jana alishiriki mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini humo na alikutana na magwiji mbalimbali wa soka la Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live