Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eng. Hersi chukua huyu mbadala wa Konkoni

Benson Omalla Benson Omalla

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inafahamika ugumu wa kupata mshambuliaji bora sana kwenye dirisha dogo la usajili.

Wakati wa dirisha dogo timu nyingi hufanya kila namna kuhakikisha wachezaji wao muhimu hawaondoki, pia mara nyingi mikataba ya wachezaji huwa ACTIVE.

Sasa kama hivyo ndivyo huna haja ya kuumiza kichwa wewe nenda hapo Kenya, bisha hodi Gor-Mahia utakutana na hiki chuma cha Harambee stars ????????

Benson Omalla msimu huu (23/24):

◉ Mechi ligi kuu — 7

◉ Mabao scored — 7

◉ Assists — 2

Benson Omalla msimu uliopita (22/23) :

◉ Mechi ligi kuu — 27

◉ Mabao scored — 26

◉ Assists — 4

Kumbuka :

Benson Omalla ana umri wa miaka (21). Akizidi sana huyu ni Tsh 280 Million.

Low budget player but quality ipo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live