Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eng. Hersi awavaa wanaomponda Chama

Chama 52 Eng. Hersi awavaa wanaomponda Chama

Tue, 27 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Klabu ya Yanga,Hersi Said amesema kauli zinazotolewa kuhusu Clatous Chama ni mzee ni za SIZITAKI MBICHI HIZI.

Rais wa Klabu ya Yanga,Hersi Said amesema kauli zinazotolewa kuhusu Clatous Chama ni mzee ni za SIZITAKI MBICHI HIZI. Hersi amemtaja Chama kama ni mchezaji mwenye mchango mkubwa sana katika Ligi hii na ni mchezaji aliyekuwa akitamani sana kumsajili aichezee Yanga akikiri wazi kuwa haikuwa rahisi kufanikisha zoezi hilo na ni heshima kubwa kwa nyota huyo kuitumikia Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live