Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eng. Hersi amrejesha Ally Kamwe Yanga

Ally Kamwe Hersi B.jpeg Eng. Hersi amrejesha Ally Kamwe Yanga

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini Ally Kamwe kwenye nafasi yake ya Meneja Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.

Hii ni baada ya saa chache zilizopita, Ally Kamwe aliaga rasmi ndani ya kikosi hicho cha mitaa wa Twiga na Jangwani baada ya kuhudumu kwa miaka miwli.

Kamwe alieleza changamoto zake kwa viongozi zilizompelekea kuchukua uamuzi wa kujiuzulu mbele ya Uongozi na kwa maslahi ya pande zote mbili wamekubaliana kuzifanyia kazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live