Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eng. Hersi: Aziz KI ndiye mchezaji ghali zaidi Yanga

YANGA AZIZ HERSII Eng. Hersi: Aziz KI ndiye mchezaji ghali zaidi Yanga

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema Stephan Aziz Ki ndiye mchezaji ghali zaidi katika kikosi cha Yanga.

Raia huyo wa Burkina Faso alisajiliwa klabuni hapo Julai 2022 akitokea Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast.

“Mkataba ni siri lakini niseme tu, Azizi Kl ndiye mchezaji ghali zaidi ndani ya Yanga Sc,” amesema Eng. Hersi Said.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live