Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Endrick asubiri utambulisho tu Real Madrid

Endrick Palmeiras Endrick

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juzi Bwana mdogo Endrick Endrick Felipe Moreira da Sousa alikuwa akitokwa na machozi wakati alipokuwa akiwaaga mashabiki wa klabu iliyomlea ya Palmeiras kwenye Mchezo wa mwisho kwake kuitumikia klabu hiyo. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 17 atajiunga rasmi na klabu ya Real Madrid C.F mwezi July mwaka huu 2024.

Anasubiri kutambuliswa kwa mabingwa mara 15 wa Ulaya [ Real Madrid]

Real Madrid msimu ujao:

Kylian Mbappé (25)

Valverde (25)

Brahim Díaz (24)

Tchouaméni (24)

Fran García (24)

Vini Jr (23)

Rodrygo (23)

Camavinga (21)

Jude Bellingham (20)

Nico Paz (19)

Arda Güler (19)

Endrick (17)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live