Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Emoji ya sokwe yatumika badala ya Onana

Garnacho Onana Polemica Manchester Emoji ya sokwe yatumika badala ya Onana

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka la England wamethibitisha kuwa wapo kwenye uchunguzi kuhusu chapisho la winga wa Manchester United Alejandro Garnacho kwenye mitandao ya kijamii ambapo alitumia emoji za sokwe kwenye picha ya kushangilia baada ya Andre Onana kuokoa penati dhidi ya Fc Copenhagen.

Onana amejibu na kusema; "Watu hawawezi kunichagulia kile ninachopaswa kuchukizwa nacho. Garnacho alimaanisha mtu imara na mwenye nguvu zaidi . Naomba Hili lisiende mbali zaidiā€.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live