Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Emmanuel Okwi atua Erbil SC ya Iraq

Erbil SC Okwi.jpeg Emmanuel Okwi atua Erbil SC ya Iraq

Thu, 26 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Uganda Cranes, Emmanuel Okwi amekamilisha usajili wake wa kuwatumikia Mabingwa mara nne wa Ligi Kuu nchini Iraq Klabu ya Erbil SC.

Okwi amejiunga na timu hiyo ya Erbil SC akitokea Klabu ya Zawraa SC.

Anakuwa Mganda wa nne kuwahi kuitumikia Klabu hiyo ya Erbil SC baada ya Sula Matovu, Ivan Bukenya na Allan Kateregga.

Erbil inakuwa ni timu ya nane kwa Emanuel Okwi nje ya Uganda zikiwemo Simba SC, Young African, Etoile Du Sahel (Tunisia), Sonderjyske (Denmark), Al Ittihad (Misri).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live