Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Emilio Nsue mfungaji bora AFCON 2023

Nsue Mfungaji Bora Emilio Nsue

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Intercity ya Uhispania na nahodha wa timu ya Taifa ya Guinea ya Ikweta, Emilio Nsue ameshinda tuzo ya mfungaji bora wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 baada ya kuifungia Guinea ya Ikweta magoli matano kwenye michuano hiyo iliyotamatika kwa wenyeji, Ivory Coast kutwaa mwali kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Nigeria kwenye fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live