Nguli wa Misri na Raisi wa Al Ahly, Mahmoud El Khatib (Bibo) amechaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa klabu wa hiyo hadi 2025 katika uchaguzi uliofanyika siku ya jana.
Katika Uchaguzi huo uliohusisha miamba wawili, El Khatib aliyepata jumla ya kura 19,362, huku mpinzani wake Khaled Suleiman akipata kura 2,320 wakati kura 445 zikiwa zimeharibika.
El-Amry Farouk ataendelea kubakia makamo wa raisi. Japokua hakuna yeyote aliyepinga uteuzi huo, Farouk alihitaji 25% ya kura alizofanikiwa kuzipata katika upande wake.
Wakati huo El-Khatib anaungana na Hossam Ghaly kama muweka hazina wa klabu baada ya kupata kura za kutosha. Bodi ya uongozi wa klabu hiyo itakuwa kama ifuatavyo:
President:
Mahmoud El Khatib
Vice-President:
El Amry Farouk
Treasurer:
Khaled Mortagy
Board Members:
Mohamed Shawky
Tarek Kandil
Mohamed El Ghazawy
Mohamed El Damaty
Hossam Ghaly
Mohanad Magdi
Mohamed Serag El Din
Mohamed El Garhy
Mai Atef