Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

El Ghazi aiburuza kortini Mainz

El Ghazi 43a90 El Ghazi.

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga Anwar El Ghazi raia wa Uholanzi ameichukulia hatua za kisheria iliyokuwa klabu yake ya Mainz kwa kumsitishia mkataba isivyo halali.

Winga Anwar El Ghazi raia wa Uholanzi ameichukulia hatua za kisheria iliyokuwa klabu yake ya Mainz kwa kumsitishia mkataba isivyo halali. Itakumbukwa mnamo Novemba 2, 2023 miamba hiyo ya Ujerumani ilisitisha mkataba na nyota huyo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vita vya Israel na Hamas na kupinga taarifa ya klabu hiyo kuhusu anajutia uamuzi wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live