Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Yanga wajifunze kilichowakuta Stars kwa Uganda

Edo X Nabi Edo Kumwembe

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Yanga wakijipongeza kwa ushindi wa ugenini mchezo wa mkondo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Kuna baadhi ya Mashabiki wanaamini kuwa tayari Yanga kashamaliza mchezo kwani mchezo wa marudiano utakaopigwa Jumapili vile vile wataahinda .

Sasa mkongwe na mchambuzi wa Soka kutoka Wasafi Fm, Edo kumwembe amewatahadharisha Yanga kuelekea mchezo huo wa Marudiano.

Akizungumza Edo ametoa mfano wa Taifa Stars walioshinda ugenini wakachemsha nyumbani. Katika hili Edi anasema;

Majuzi Taifa Stars walitupa onyo kwamba tuendelee kuuheshimu mchezo wa soka. Walikwenda Misri wakashinda dhidi ya Uganda. Pambano la marudiano ambalo lilikuwa na hamasa kubwa kwetu tukachapwa kwa Mkapa mbele ya Waziri Mkuu. Lile ni onyo kwa Yanga wajipange.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live