Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Yanga hawana hela ya kumlipa Mayele (+Video)

Edo Mayele Yanga Edo Kumwembe: Yanga hawana hela ya kumlipa Mayele

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku mbili tu zikiwa zimepita Tangu aliyekuwa Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Klala Mayele atambulishwe katika Timu yake mpya ya FC Pyramids ya Misri.

Mashabki wengi wameonekana kutofurahishwa na Uhamisho huo lakini Mchambuzi Mkongwe wa michezo Edo Kumwembe yeye amesema kwa hatua waliyofikia ilikuwa ngumu Yanga kutimiza matakwa binafsi ya Mayele.

Licha ya kuwa mchezaji alikuwa na Mkataba na Klabu lakini ilikuwa ni ngumu kwa Yanga kumudu kwani ni nje ya uwezo wao,

Msikilize Edo Kumwembe akizungumza kwenye Video hapa chini kisha tupe maoni yako.

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: