Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Simba wajipange, Wydad sio Yanga

Edo X Wydad Edo Kumwembe: Simba wajipange, Wydad sio Yanga

Wed, 19 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wekundu wa Msimbazi Simba SC wakijiandaa na mchezo mgumu wa Robo Fainali dhidi ya vigogo kutoka Morocco Wydad Club Athletic.

Mchambuzi wa Michezo kutoka kituo cha Wasafi FM, Edo Kumwembe amwapa tahadhari Simba akiwaambia kuwa wajipanhe na wasidanganyike na ushindi walioupata dhidi ya Yanga Jumapili kwa Mkapa.

Akizungumza Edo anasema;

“Wikiendi hii Simba watacheza na Wydad Casablanca, wanahitajika kuwa katika ubora maradufu kwa sababu Wydad sio Yanga. Hii ni timu nyingine tofauti kabisa na Yanga. Wydad ni tishio Afrika, wafanye haraka kusahau ushindi dhidi ya Yanga.”

Simba wataikaribisha Wydad April 22 katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live