Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edo Kumwembe: Mkude ameamua kuiuza namba yake kwa wageni

Mkude X Mzamiru Edo Kumwembe: Mkude ameamua kuiuza namba yake kwa wageni

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati hali ya sintofahamu ikiendelea kujitokeza kwa kiungo wa Simba Jonas Mkude na mustakabali wake ndani ya Simba SC.

Mchambuzi na Mwandishi wa habari za michezo Edo Kumwembe nae hajaamua kulinyamazia suala hilo na kuamua kutoa maoni yake.

Akizungumza Edo anasema;

“Katika hali ya kawaida Jonas ana kipaji kikubwa kuliko Mzamiru lakini ndio walivyo wachezajj wetu. Wale wenye vipaji vikubwa hawajitumi sana. Ndio hawa kina Jonas. Sijui nini kinamtokea lakini ni kama vile amerusha taulo na ameruhusu kuiuza namba yake kwa wageni”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live